Kurasa

Jumatatu, 10 Septemba 2018

WAZIRI MKUU WA TANZANIA MHE KASSIM MAJALIWA AREJEA NCHINI AKITOKEA CHINA



Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka nchini China, Septemba 9, 2018 ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing hivi karibuni.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni