Kurasa

Jumatatu, 10 Septemba 2018

MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA IMETUPILIA MBALI PINGAMIZI LA WAKILI WA SERIKALI KUHUSU VING’AMUZI

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa Tanzania🇹🇿 imetupilia mbali pingamizi la Wakili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililokuwa linapinga Mahakama hiyo kusikiliza maombi ya kuondolewa amri ya TCRA iliyowalazimu baadhi ya Makampuni ya Ving’amuzi yaliyokuwa yakionesha chaneli za ndani kuondoa chaneli hizo kwenye ving’amuzi vyao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni