Kurasa

Alhamisi, 5 Januari 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAMIA KUMZIKA KAPTENI MHAIKI, SONGEA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  na mkewe Mery Majaliwa wakiweka shada la maua katika kaburi la aliye kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali Kapteni  Kenan Mhaiki  aliyefariki tarehe 31/12/2016 na kuzikwa tarehe 4/1/2017 kijijini kwao Matogoro Mkoani Ruvuma.
 Waziri mkuu Kassim Majaliwa  akitoa salamu za serikali katika misa ya kumuombea marehemu Kapteni Kenan Mhaiki iliyofanyika katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea  Parokia ya Mtoto Yesu  Matogoro, Songea.
 Mjane wa Marehemu  Kapteni Kenan Mhaiki  akiweka shada la maua katika kaburi la mume wake.
 Watoto wa Marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakiweka Mashada ya maua katika kaburi la Baba yao.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Kapteni Kenan Mhaiki wakati wa misa ya kumuombea katika kanisa la Jimbo kuu Katoliki la Songea  Parokia ya Mtoto Yesu  Matogoro, Songea. Picha na Chris Mfinanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni