Rais
wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Soko la Matunda na
Ofisi ya Baraza la Mji la Wete katika Shamara shamra za Maadhimisho ya
sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
Mhe.Omar Khamis Othman (wa pili kushoto).
Rais
wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Nd,Radhiya Rashid wakati alipolitembelea Soko la Matunda Wete Mjini Mkoa
wa Kaskazini Pemba baada ya kulizindua rasmi leo katika Shamara shamra
za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Wete
leo baada ya kulizindua rasmi Soko la Matunda na Ofisi ta Baraza la Mji
Wete Mkoa wa Kaskazini ikiwa ni katika Shamara shamra za Maadhimisho ya
sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ Nd,Radhiya Rashid.
Rais
wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili
katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi wa
Soko hilo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji Wete, katika sherehe za
shamara shamara za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni