Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye
uwanja wa ndege wa Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kabla
ya Rais huyo kuondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye
uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati
Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais wa Chad, Idriss Deby
kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati Rais huyo
alpoondoka nchini Novemba 28, 2016.
Rais
wa Chad, Idriss Deby akiwapungia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dar
es salaam wakati alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. Kulia ni Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza na kushoto ni mke wa Rais wa
Chad, Hinda Deby.
Rais
wa Chad, Idriss Deby akipokea heshima kwenye uwnja wa ndege wa Julius
Kambarage Nyerere wakati alipoondoka nchini Novemb 28, 2016. Kushoto
kwake ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni