Kurasa

Alhamisi, 26 Julai 2018

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI (WFP) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM,


Rais Dkt. John Magufulia kimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley zawadi ya Picha ya moja ya mbuga za wanyama zilizopo nchini pamoja na kinyago cha mpingo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufulia kimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley zawadi ya Picha ya moja ya mbuga za wanyama zilizopo nchini pamoja na kinyago cha mpingo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la (WFP) nchini Michael Dunford.
Rais Dk. John Magufuli akiagananaMkurugenziwakandawa (WFP)  Lola Castro  baada ya mazungumzo hayo.
Rais Dk John Magufuli akiwa katika mazungumzo ya hapa na pale na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika  MasharikiBalozi Dkt. Agustine Mahiga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni