Waziri wa Kilimo,Ufugaji na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amesema "Serikali imeanza kuondoa baadhi ya kodi za mbolea zisizokuwa na tija ili kupunguza bei na kuwawezesha wakulima wadogo kumudu gharama"
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini,mapema leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika,leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kotoka nchi mbalimbali Duniani,wakiwemo Wakuu wa Mashirika na Makampuni makubwa yanayozalisha Mbolea Duniani.
Wadau wa mkutano wa "Africa Fertilizer Agriculture 2016" wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba alipokuwa akiwafafanulia changamoto mbalimbali zilizopo nchini Tanzania katika suala zima la upatikanaji na usambajfi wa mbolea kwa wakulima wakubwa na Wadogo,mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika,leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kotoka nchi mbalimbali Duniani,wakiwemo Wakuu wa Mashirika na Makampuni makubwa yanayozalisha Mbolea Duniani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni