Kurasa

Jumatatu, 3 Oktoba 2016

RC Dodoma awasimamisha wawili(2) Chamwino.

Watu 30 wanashikiliwa mkoani Dodoma kwa tuhuma za mauaji ya maafisa 3 wa Kituo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi cha Selian.

RC awasimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi na Afisa Utumishi Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kutosambaza taarifa za ujio wa watafiti.
Dodoma
Tanzania

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni