Imeripotiwa Kupotea Kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika
Habari kubwa zinazotrend sasa hivi ni hii
iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa
Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu
alivyoondoka kuelekea New York Marekani kwenye mkutani mkubwa wa Umoja
wa Mataifa kwa mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york,
September 15 2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.
Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa
aondoke nchini kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags
kwenye mitandao ya kijamii zikisema #bringbackMutharika haswa kwenye
twitter.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni