Kurasa

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

HISTORIA LEO: MWALIMU NA WASIDIZI WAKE IKULU DAR ES SALAAM

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kati) alikuwa na wasaidizi wa karibu mahiri mbalimbali katika enzi za uongozi wake wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hawa ni baadhi tu waliomsaidia kwenye nyanja ya habari. Kutoka kushoto ni Marehemu Sammy Mdee, Paul Sozigwa, Marehemu Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa, ambaye alikuja kuchukua nafasi yake kwenye awamu ya Tatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni