Naibu Waziri wa Kazi,Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde Leo alikuwa mgeni Rasmi katika final za NJALU CUP zilizofanyika leo katika jimbo la Itilima wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu.
Mashindano hayo hufanyika kila mwaka kwa udhamini wa Mbunge wa Jimbo hilo la Itilima Mhe Njalu Daudi Silanga. kwa mwaka huu yamekwenda sambamba na wiki ya Vijana Tanzania.
Katika final hizo pia zilihudhuriwa na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka pamoja na viongozi mbali mbali wa chama cha Mapinduzi na Serikali ya Tanzania.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni