Kurasa

Ijumaa, 30 Septemba 2016

Banki Kuu ya Tanzania(BoT): Pato la taifa laongezeka kwa asilimia 6.7


Gavana wa benki kuu ya Tanzania Benno Ndulu amesema pato la taifa limeongezeka kwa asilimia 6.76 katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2016(Jan-Juni) ukilinganisha na kipindi kama hicho mwaka jana.
Nusu ya kwanza ya mwaka 2015 pato la taifa lilikuwa kwa asilimia 5.7
Sekta zilizoongoza kwa kukuza pato hili ni Uchuzi na uhifadhi mizigo iliyochangia asilimia 17.4 uchimbaji madini na gesi asili asilimia 13.7 sekta ya mawasiliano asilimia 13 na sekta ya fedha na bimakwa asilimia 13
Makusanyo ya ndani yameongezeka kwa asilimia 34
Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni